John 5:38

38 awala hamna neno lake ndani yenu, kwa sababu hamkumwamini yeye aliyetumwa naye.
Copyright information for SwhNEN